Alhidaaya Official Mapishi APP
Alhidaaya官方Mapishi應用程序旨在促進斯瓦希里語社區免費提供這些食譜,而不是互聯網。
APP Rasmi ya Mapishi ya Alhidaaya imekusudiwa kuwezesha jamii inayozungumza Kiswahili kupata Mapishi haya bure na kwa wepesi, na uwezo wa kutumia bila Mtandao baada ya kuhifadhi Mapishi kwenye simu zao za mkono.